Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Andalia Wakati Ujao kwa Hekima Inayotumika
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Machi 1
    • Sasa, akichota somo kwa ajili ya wanafunzi wake, Yesu anatia moyo hivi: “Jifanyieni rafiki kwa mali ya udhalimu, ili itakapokosekana wawakaribishe katika makao ya milele.”

  • Andalia Wakati Ujao kwa Hekima Inayotumika
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Machi 1
    • Lakini kama asemavyo Yesu, inawapasa watumie mali hizo kufanya urafiki pamoja na wale ambao wangeweza kuwapokea “katika makao ya milele.” Kwa washiriki wa kundi dogo, makao hayo yako mbinguni; kwa kondoo wengine, yamo katika dunia Paradiso. Kwa kuwa Yehova Mungu na Mwana wake ndio tu wanaoweza kupokea watu katika makao hayo, inatupasa tuwe na bidii-endelevu katika kutumia ‘mali yoyote ya udhalimu’ tuliyo nayo ili kutegemeza masilahi ya Ufalme na hivyo tusitawishe urafiki pamoja nao. Ndipo, mali za kimwili zikishindwa au kutoweka, kama zitakavyofanya hakika, wakati ujao wetu wa milele utakuwa na uhakikishio.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki