Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Tajiri na Lazaro Wapatwa na Badiliko
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Aprili 1
    • “Halafu,” Yesu anasema, “yule masikini alikufa, akachukuliwa na malaika katika kifua chake Abrahamu; yule tajiri alikufa vilevile, akazikwa. Katika Hadeze akiwa katika azabu [mateso, UV], akanyanyua macho yake, akaona Abrahamu mbali na Lazaro katika kifua chake.”

  • Tajiri na Lazaro Wapatwa na Badiliko
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Aprili 1
    • Wale walio wa jamii ya Lazaro mnyenyekevu mwenye kutubu wanakufa kuhusu hali yao ya kwanza ya kunyimwa uhitaji wa kiroho na wanakuja ndani ya cheo cha upendeleo wa kimungu. Ijapokuwa mapema kidogo walitegemea viongozi wa kidini kwa kiasi chochote kidogo kilichoanguka kutoka meza ya kiroho, sasa kweli za Kimaandiko zinazotolewa na Yesu zinajaza mahitaji yao. Hivyo wanaletwa ndani ya kifua, au cheo chenye upendeleo, cha Abrahamu Mkubwa Zaidi, Yehova Mungu.

      Kwa upande mwingine, wale wanaojumlika kuwa jamii ya tajiri wanakuja chini ya ukosefu wa upendeleo wa kimungu kwa sababu ya kukataa-kataa ujumbe wa Ufalme uliofundishwa na Yesu. Kwa njia hiyo wanakufa kuhusu cheo walichokuwa nacho cha kuonekana kama wenye upendeleo. Kwa uhakika, wananenwa kama kwamba wamo katika mteseko-teseko wa kitamathali. Sikiliza wakati tajiri anaponena:

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki