Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wenye Ukoma Kumi Waponywa Wakati wa Safari ya Mwisho ya Yesu ya Kwenda Yerusalemu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Juni 1
    • Katika kujibu Yesu anasema: “Hawakutakaswa wote kumi? Wale kenda wa wapi? Je! hawakuonekana waliorudi kumpa Mungu utukufu ila mgeni [mtu wa taifa jingine, NW ] huyu? ”

  • Wenye Ukoma Kumi Waponywa Wakati wa Safari ya Mwisho ya Yesu ya Kwenda Yerusalemu
    Mnara wa Mlinzi—1989 | Juni 1
    • Tunaposoma juu ya Yesu akiponya wale wenye ukoma kumi, inatupasa tuweke moyoni lile somo linalodokezwa na swali lake: “Wale kenda wa wapi? ” Kule kutokuwa na shukrani kulikoonyeshwa na wale kenda ni udhaifu mzito. Je! sisi, kama yule Msamaria, tutajionyesha kuwa wenye shukrani kwa vitu tunavyopokea kutoka kwa Mungu, kutia na ahadi hakika ya uhai wa milele katika ulimwengu mpya wenye uadilifu? Yohana 11:54, 55; Luka 17:11-19; Walawi 13:16, 17, 45, 46; Ufunuo 21:3, 4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki