Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yerusalemu Na Hekalu La Siku Za Yesu
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • Mara kwa mara Yesu aliwatembelea marafiki wake Lazaro, Maria, na Martha huko Bethania, jiji lililokuwa “karibu kilometa tatu” mashariki ya Yerusalemu. (Yoh 11:1, 18, kielezi-chini, New World Translation of the Holy Scriptures—With References; 12:1-11; Lu 10:38-42; 19:29; ona “Eneo la Yerusalemu,” ukurasa wa 18.) Siku chache kabla ya kifo chake, Yesu alienda Yerusalemu akipitia Mlima wa Mizeituni. Wazia Yesu akisimama na kutazama upande wa magharibi mahali ambapo jiji hilo lilikuwa na kulililia. (Lu 19:37-44) Yesu aliliona jiji kama unavyoliona katika picha iliyo upande wa juu wa ukurasa unaofuata. Kisha aliingia Yerusalemu akiwa juu ya mwana-punda, labda kwa kupitia mojawapo ya malango yaliyokuwa mashariki mwa jiji hilo. Umati wa watu walimkaribisha kwa shangwe akiwa Mfalme wa Israeli wa wakati ujao.—Mt 21:9-12.

  • Yerusalemu Na Hekalu La Siku Za Yesu
    ‘Ona Nchi Nzuri’
    • BONDE LA HINOMU (GEHENA)

      [Picha katika ukurasa wa 30]

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki