Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Tunaishi Katika Siku za Mwisho?
    Amkeni!—1995 | Aprili 22
    • “Kutakuwa . . .na mambo ya kutisha.”—Luka 21:11.

      Kwa sababu ya matukio yenye kuhofisha katika miaka ya majuzi, labda hofu ndiyo hisia-moyo pekee iliyo kubwa zaidi ya zote katika maisha ya watu. Watu wanahofu vita, uhalifu, uchafuzi, maradhi, infleshoni, na mambo mengine mengi ambayo yanatisha usalama wao na maisha yao yenyewe.

  • Je, Tunaishi Katika Siku za Mwisho?
    Amkeni!—1995 | Aprili 22
    • “Mahali pamoja baada ya pengine magonjwa ya kuambukiza.”—Luka 21:11, NW.

      Kulingana na jopo fulani la wastadi, pigano la serikali ya Marekani dhidi ya UKIMWI—likigharimu zaidi ya dola milioni 500 kila mwaka—limeitwa kushindwa kwenye kuhuzunisha. “Tunapoteza kizazi kizima cha utokezaji mazao kwa sababu ya UKIMWI,” aonya Dakt. Donna Sweet, anayefanya kazi na wagonjwa wapatao 200 hadi 300. Katika Marekani, UKIMWI sasa ndio kisababishi kinachoongoza cha kifo miongoni mwa wanaume kati ya umri wa miaka 25 hadi 44.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki