Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1991 | Julai 15
    • Luka 22:7, 8 latoa hali ya wakati, likisema: “Ikafika siku ya mikate isiyotiwa chachu, ambayo ilipasa kuchinja pasaka. Akawatuma Petro na Yohana, akisema, Nendeni, mkatuandalie pasaka tupate kuila.” Usimulizi unaendelea hivi: “Na mtamwambia mwenye nyumba, Mwalimu akuambia, Ki wapi chumba cha wageni, nipate kula pasaka humo pamoja na wanafunzi wangu?” Kwa hiyo jioni hiyo Yesu alikuwa pamoja na wale 12 kwa ajili ya mwadhimisho wa Kiyahudi. Aliwaambia hivi: “Nimetamani sana kuila pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.”—Luka 22:11, 15.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—1991 | Julai 15
    • Lakini Yesu ‘alitamani sana’ kushiriki kule ambako kungekuwa Kupitwa kwa mwisho kisheria, na usiku wa mwisho kabla ya kifo chake, pamoja na wafuasi wake wa karibu zaidi, waliokuwa wamesafiri pamoja naye wakati mwingi wa huduma yake. Mwishoni mwa chakula hicho cha Kupitwa, Yesu aliwaambia juu ya mwadhimisho mpya ambao ulipasa ufanywe na wafuasi wake wote wakati ujao. Divai ya ule mwadhimisho wa Kikristo uliokuwa bado wa wakati ujao ingewakilisha damu ya “agano jipya” ambalo lingechukua mahali pa agano la Sheria.—Luka 22:20.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki