Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Wewe ni Mwenye Kusamehe?
    Mnara wa Mlinzi—1994 | Septemba 15
    • Karne nyingi zilizopita mtu mmoja asiye na kosa alihukumiwa kifo kwa sababu ya uhalifu ambao hakufanya. Mashahidi walitoa ushuhuda bandia, na maofisa wa kisiasa walikataa kimakusudi kutekeleza haki. Mtu huyo asiye na hatia alikuwa Yesu Kristo. Muda mfupi kabla afe, kwa sala alimwomba Mungu hivi: “Baba, uwasamehe, kwa kuwa hawajui watendalo.”—Luka 23:34.

      Yesu alisamehe kabisa, kutoka kwa moyo wake, na wafuasi wake walihimizwa wamwige kwa jambo hilo. (Waefeso 4:32) Hata hivyo, kama Bill, wengi hawataki kusamehe kutoka moyoni. Je, wewe unafanyaje kwa jambo hilo? Je, wewe ni tayari kusamehe wengine wanapokukosea? Na vipi juu ya dhambi zilizo nzito? Je, ni lazima hizo pia zisamehewe?

  • Kwa Nini Uwe Mwenye Kusamehe?
    Mnara wa Mlinzi—1994 | Septemba 15
    • Ebu wazia yale mambo mengi ambayo lazima yalikuwa yamejaa akilini mwa Yesu katika alasiri ya kifo chake. Yeye alikuwa na mahangaiko juu ya wafuasi wake, kazi ya kuhubiri, na hasa uaminifu wake wa maadili kwa Yehova. Lakini, hata alipokuwa akitaabika sana katika mti wa mateso, yeye alizungumza juu ya nini? Miongoni mwa maneno yake ya mwisho yalikuwa, “Baba, uwasamehe.” (Luka 23:34) Twaweza kuiga kielelezo kikamilifu cha Yesu kwa kusameheana kutoka moyoni.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki