Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Inamaanisha Nini “Kuwapenda Adui” Zetu?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      • “Wabariki wale wanaokulaani.” (Luka 6:28) Tunawabariki adui zetu kwa kuzungumza nao kwa fadhili na ufikirio hata wanapotutukana. Biblia inasema hivi: “Msilipe . . . matukano kwa matukano. Badala yake, lipeni kwa baraka.” (1 Petro 3:9) Ushauri huo unaweza kutusaidia kushinda chuki.

      • ‘Sali kwa ajili ya wale wanaokutukana.’ (Luka 6:28) Mtu anapokutukana, usimlipe “uovu kwa uovu.” (Waroma 12:17) Badala yake, mwombe Mungu amsamehe mtu huyo. (Luka 23:34; Matendo 7:59, 60) Badala ya kulipiza kisasi, mwachie Mungu ashughulikie mtu huyo kulingana na kiwango Chake kikamilifu cha haki.​—Mambo ya Walawi 19:18; Waroma 12:19.

      Picha: 1. Mwanamke akimsikiliza mfanyakazi mwenzake anayempigia kelele kwa hasira. 2. Baadaye, mwanamke anasali akiwa mezani kwake.

      “Endeleeni kuwapenda adui zenu na kuwatendea mema wale wanaowachukia, kuwabariki wale wanaowalaani, na kusali kwa ajili ya wale wanaowatukana.”​—Luka 6:27, 28.

  • Inamaanisha Nini “Kuwapenda Adui” Zetu?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • Luka 6:28: “Kuwabariki wale wanaowalaani, na kusali kwa ajili ya wale wanaowatukana.”

      Maana: Zungumza kwa fadhili na heshima kuwaelekea wale wanaokuchukia au kukutendea kwa njia isiyo ya haki, na uombe Mungu awasamehe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki