Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mmoja Asiyeelekea Kuwa Mwanafunzi
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Mei 15
    • Mwanamume huyo amkaribia Yesu na kuanguka miguuni pake, wale mashetani waliomtawala wanapaaza sauti hivi: “Tuna nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu Aliye Juu? Na kuapisha kwa Mungu usitutese.”

  • Mmoja Asiyeelekea Kuwa Mwanafunzi
    Mnara wa Mlinzi—1987 | Mei 15
    • “Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi,” ndilo jibu. Mashetani wanaterema kwa kuona mateso ya wale wanaoweza kupagaa, kwa wazi wakifurahia kuwavamia wakiwa kundi lenye roho ya woga. Lakini wakikabiliwa na Yesu, wanasihi wasipelekwe katika lile shimo refu. Tunaona tena uwezo mkubwa alio nao Yesu wa kushinda hata mashetani wakali mno. Hilo pia linafunua kwamba mashetani wanajua kwamba kutupwa kwao katika shimo refu pamoja na kiongozi wao, Shetani Ibilisi, ndiyo hukumu ya Yehova kwao hatimaye.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki