-
Mtumikie Yehova Bila KukengeukaMnara wa Mlinzi—2015 | Oktoba 15
-
-
‘Maria aliendelea kulisikiliza neno lake Yesu. Martha alikengeushwa na kazi nyingi.’ —LUKA 10:39, 40.
-
-
Mtumikie Yehova Bila KukengeukaMnara wa Mlinzi—2015 | Oktoba 15
-
-
3, 4. Ni kwa njia gani Maria alichagua “fungu jema,” na Martha alijifunza nini? (Tazama picha mwanzoni mwa makala hii.)
3 Yesu alifurahia ukarimu wa Martha na Maria, naye alitaka kutumia nafasi hiyo kuwapa zawadi ya kiroho. Maria alitumia fursa hiyo kujifunza moja kwa moja kutoka kwa Mwalimu Mkuu, hivyo “aliketi miguuni pa Bwana na . . . , kulisikiliza neno lake.” Martha angeweza kufanya vivyo hivyo. Bila shaka, Yesu angempongeza ikiwa angefanya hivyo.
-