-
Kufundisha Mwanamke MsamariaMnara wa Mlinzi—1986 | Januari 1
-
-
“Mimi ninayesema nawe, ndiye,” Yesu anatamka. Ebu fikiria hilo! Mwanamke huyo anayekuja wakati wa adhuhuri kuteka maji, labda ili aepuke kuonana na wanawake wengine wa mji huo wanaomdharau kwa sababu ya njia yake ya maisha, anapendelewa na Yesu kwa njia ya ajabu. Yesu anamtobolea wazi kabisa jambo ambalo hajaeleza wazi mtu mwingine ye yote. Matokeo yanakuwa nini? Makala katika toleo letu linalokuja itaeleza. Yohana 4:3-26.
-
-
Kufundisha Mwanamke MsamariaMnara wa Mlinzi—1986 | Januari 1
-
-
[Picha ya ukurasa mzima katika ukurasa wa 9]
-