-
Yerusalemu Na Hekalu La Siku Za Yesu‘Ona Nchi Nzuri’
-
-
Kwenye dimbwi la Bethzatha lililokuwa kaskazini ya hekalu hilo, Yesu alimponya mtu aliyekuwa ameugua kwa miaka 38. Mwana wa Mungu alimponya kipofu na kumwambia aende akanawe katika dimbwi la Siloamu lililokuwa kusini mwa jiji hilo.—Yoh 5:1-15; 9:1, 7, 11.
-
-
Yerusalemu Na Hekalu La Siku Za Yesu‘Ona Nchi Nzuri’
-
-
Jumba la Gavana
-