Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Fundisho Zaidi Siku ya Saba
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Mei 1
    • Wakati Yesu anaposema mambo haya, wengi wanatia imani katika yeye. Kwa hao yeye anasema: “Ninyi mkibaki katika neno langu, ninyi ni wanafunzi wangu kweli kweli, na ninyi mtajua ule ukweli, na ule ukweli utawaweka ninyi huru.”

  • Fundisho Zaidi Siku ya Saba
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Mei 1
    • “Basi ikiwa yule Mwana anawaweka ninyi huru,” Yesu anaendelea, “ninyi kwa kweli mtakuwa huru.” Hivyo, ukweli ambao unaweka watu huru ni ule ukweli kuhusu yule Mwana, Yesu Kristo. Ni kwa njia ya dhabihu tu ya uhai wake mkamilifu wa kibinadamu kwamba mtu ye yote anaweza kuwekwa huru kutoka kwenye dhambi inayoleta kifo. Yohana 8:12-36, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki