Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Arusi Zenye Kuheshimika Machoni pa Mungu na Wanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • 3. Yesu alichangia shangwe kwenye tukio gani huko Kana?

      3 Waisraeli waliiona hatua hiyo kuwa arusi au kufunga ndoa. Baadaye, huenda walifanya karamu kama ile inayotajwa kwenye Yohana 2:1. Tafsiri nyingi za Biblia zinatafsiri mstari huo hivi: “Palikuwa na arusi huko Kana.” Lakini kwa kufaa neno la awali linatafsiriwa “karamu ya ndoa.”a (Mathayo 22:2-10; 25:10; Luka 14:8) Simulizi hilo linaonyesha wazi kwamba Yesu alikuwapo naye akachangia shangwe kwenye karamu hiyo iliyohusiana na arusi ya Kiyahudi. Hata hivyo, jambo kuu ni kwamba arusi za wakati huo zinatofautiana na za leo.

  • Arusi Zenye Kuheshimika Machoni pa Mungu na Wanadamu
    Mnara wa Mlinzi—2006 | Oktoba 15
    • a Neno hilohilo linaweza kutumiwa kuhusu karamu ambayo haikuhusiana na ndoa.—Esta 9:22, Septuagint.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki