-
Lazaro AfufuliwaYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
Kayafa anafaulu kushawishi Sanhedrini ifanye mipango ya kumuua Yesu. Je, inawezekana Nikodemo, mshiriki wa Sanhedrini ambaye ni rafiki ya Yesu anamfunulia mipango hiyo? Vyovyote vile, Yesu anaondoka kwenye eneo lililo karibu na Yerusalemu, na hivyo kuepuka kuuawa kabla wakati uliowekwa na Mungu haujafika.
-
-
Watu Kumi wenye Ukoma Waponywa—Mmoja AshukuruYesu—Njia, Kweli, na Uzima
-
-
Yesu anavuruga mipango ya Sanhedrini ya kutaka kumuua anaposafiri kwenda jiji la Efraimu, lililo upande wa kaskazini mashariki hivi wa Yerusalemu. Anakaa huko na wanafunzi wake, akiwa mbali na maadui wake. (Yohana 11:54) Hata hivyo, Pasaka ya mwaka wa 33 W.K. inakaribia, kwa hiyo Yesu anasafiri tena. Anasafiri kuelekea kaskazini kupitia Samaria hadi Galilaya, safari yake ya mwisho katika eneo hilo kabla ya kifo chake.
-