Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • “Mimi Sina Hatia ya Damu ya Mtu Yeyote”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
    • Paulo na waandamani wenzake wakipanda meli. Wazee wa Efeso wakimkumbatia Paulo na kulia.

      “Wote wakalia sana.”—Matendo 20:37

      22. Kwa nini wazee wa Efeso walimpenda sana Paulo?

      22 Kwa kuwa Paulo aliwapenda akina ndugu kikweli, ndugu hao walimpenda sana. Kwa kweli, wakati wake wa kuondoka ulipofika, ‘wote walilia sana, nao wakamkumbatia Paulo na kumbusu kwa upendo.’ (Mdo. 20:37, 38) Wakristo huwathamini na kuwapenda ndugu ambao, kama alivyofanya Paulo, hujitoa wenyewe bila ubinafsi kwa manufaa ya kundi. Unapotafakari mfano mzuri wa Paulo, je, hukubali kwamba hakuwa akijisifu wala kutilia chumvi aliposema: “Mimi sina hatia ya damu ya mtu yeyote”?​—Mdo. 20:26.

  • “Mimi Sina Hatia ya Damu ya Mtu Yeyote”
    “Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu
Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki