Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Paulo Ashinda Janga
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
    • Kikundi hicho chenye uchovu chapata mahali penye usalama kwenye kisiwa kiitwacho Malta. Wakazi wa kisiwa hicho ni “wenye kusema lugha ya kigeni,” kihalisi “washenzi” (Kigiriki, barʹba·ros).c Lakini watu wa Malta si washenzi. Kinyume chake, Luka, mwandamani msafiri wa Paulo, aripoti kwamba “wa[li]tuonyesha fadhili ya kibinadamu isiyo ya kawaida, kwa maana waliwasha moto na kutupokea sisi sote kwa njia ya kusaidia kwa sababu ya mvua iliyokuwa ikinyesha na kwa sababu ya baridi.” Paulo mwenyewe anajiunga na wenyeji wa Malta kukusanya kuni na kuziweka motoni.—Matendo 28:1-3, New World Translation—With References, kielezi-chini.

  • Paulo Ashinda Janga
    Mnara wa Mlinzi—1999 | Mei 1
    • c Kichapo Word Origins cha Wilfred Funk chasema: “Wagiriki walidharau lugha nyingine isipokuwa ile yao, na kusema kwamba zilisikika kuwa za ‘kishenzi’ na yeyote aliyezizungumza walimwita barbaros.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki