-
Filipi—Sehemu ya Mabubujiko ya MajiAmkeni!—1991 | Oktoba 8
-
-
Mabubujiko ya Mawe ya Thamani
-
-
Filipi—Sehemu ya Mabubujiko ya MajiAmkeni!—1991 | Oktoba 8
-
-
“Hata siku ya sabato” akaandika Luka, “tukatoka nje ya lango, tukaenda kando ya mto, ambapo tukadhani ya kuwa pana mahali pa kusali; tukaketi, tukasema na wanawake waliokutana pale.” Mazungumzo hayo yalitia ndani tumaini la wokovu na uhai wa milele kupitia Yesu Kristo. Na hasa “mwanamke mmoja, jina lake Lidia, mwenye kuuza rangi ya zambarau, . . . akatusikiliza, ambaye moyo wake ulifunguliwa na Bwana, ayatunze maneno yaliyonenwa na Paulo.”—Matendo 16:13, 14; linganisha Wafilipi 2:12, 16; 3:14.
Baada ya siku kadhaa, kukaa kwa Paulo katika Filipi kukawa na mwisho wenye tamasha. Akitembea kilomita moja unusu hivi akielekea sehemu ya maombi, alikutana na msichana mwenye kusumbua aliye pagawa na roho mwovu. Wakati Paulo alipofukuza yule shetani, waajiri wa yule msichana walighadhabishwa walipoona kwamba biashara yao ya uaguzi imeharibiwa. Kukiwa na tokeo gani?
-