Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Moto wa Mateso Ni Halisi? Kuzimu Ni Wapi Kulingana na Biblia?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      • Mungu anasema kifo ndiyo hukumu ya dhambi, si mateso katika moto wa milele. Mungu alimwambia mwanadamu wa kwanza, Adamu kwamba hukumu ya kuvunja amri ya Mungu ingekuwa kifo. (Mwanzo 2:17) Hakusema jambo lolote kuhusu mateso ya milele katika moto. Baadaye, baada ya Adamu kutenda dhambi, Mungu alimwambia adhabu yake ingekuwa nini: “Wewe ni mavumbi nawe utarudi mavumbini.” (Mwanzo 3:19) Angeacha kuwepo. Ikiwa Mungu alikusudia kumtupa Adamu ndani ya moto wa mateso, bila shaka Mungu angemwambia. Mungu hajabadili adhabu ya wale wanaokiuka sheria zake. Muda mrefu baada ya Adamu kutenda dhambi, Mungu alimwongoza mwandikaji mmoja wa Biblia kusema hivi: “Mshahara ambao dhambi hulipa ni kifo.” (Waroma 6:23) Hakuna uhitaji wa adhabu nyingine, kwa sababu “yule ambaye amekufa ameondolewa hatia ya dhambi yake.”​—Waroma 6:7.

  • Je, Moto wa Mateso Ni Halisi? Kuzimu Ni Wapi Kulingana na Biblia?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • Maana: Kifo ndiyo adhabu kamili ya dhambi, si moto wa mateso.

      Ufunuo 20:13: “Mauti na Kuzimu zikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake.”​—Union Version.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki