Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Utasimamaje Mbele ya Kiti cha Hukumu?
    Mnara wa Mlinzi—1995 | Oktoba 15
    • 12 Basi, kwa Danieli kumwona Mungu ‘akiketi katika kiti cha ufalme’ kulimaanisha kuja Kwake kutoa hukumu. Mapema zaidi Daudi aliimba: “[Wewe Yehova] umenifanyia hukumu na haki; umeketi kitini pa enzi [“ufalme,” NW] ukihukumu kwa haki.” (Zaburi 9:4, 7) Na Yoeli aliandika: “Mataifa na wajihimize, wakapande juu katika bonde la Yehoshafati; maana huko ndiko [mimi Yehova] nitakakoketi niwahukumu mataifa yote.” (Yoeli 3:12; linganisha Isaya 16:5.) Yesu na Paulo vilevile walikuwa katika hali za kihukumu ambamo mwanadamu fulani aliketi ili kusikiza kesi na kutoa hukumu.b—Yohana 19:12-16; Matendo 23:3; 25:6.

  • Utasimamaje Mbele ya Kiti cha Hukumu?
    Mnara wa Mlinzi—1995 | Oktoba 15
    • b Kuhusu jambo la Wakristo kupelekana mahakamani, Paulo aliuliza: “Je, ni watu wadharauliwao katika kutaniko ambao mwawaweka kuwa mahakimu [kihalisi “mnafanya waketi”]?”—1 Wakorintho 6:4, NW.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki