-
Bashani—Chanzo Chenye RutubaMnara wa Mlinzi—1989 | Mei 1
-
-
Wakati wa mavuno wafanya kazi walikata ngano iliyosimama kwa mundu uliojikunja kama huu wa chuma unaoonekana juu, usio na mpini wao wa mti. (Kumbukumbu 16:9, 10; 23:25) Ndipo mabua yalipokusanywa na kupelekwa kwenye sakafu ya kupuria, ambako kitelezeo cha ubao (kilichowekwa mawe chini) kilipitishwa juu yayo ili kuvitokeza wazi viini. (Ruthu 2:2-7, 23; 3:3, 6; Isaya 41:15) Unapotazama picha inayohusu jambo hili, iliyopigwa katika Miinuko ya Golani, ungeweza kuifikiria ile sheria ya Mungu yenye kujaa maana: “Ng’ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa.”—Kumbukumbu 25:4; 1 Wakorintho 9:9.
-
-
Bashani—Chanzo Chenye RutubaMnara wa Mlinzi—1989 | Mei 1
-
-
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 17]
Pictorial Archive (Near Eastern History) Est |
Kisehemu cha ndani: Taasisi ya Badè ya chimbuzi wa Vitu vya Kale vya Kibiblia
-