-
Korintho—Jiji la Bahari MbiliAmkeni!—1991 | Novemba 8
-
-
Mitazamo-Nyuma Yetu
Tukiwa tunatembea katika Njia ya Lechaeum, iliyokuwa njia kuu ya kale iliyounganisha bandari ya magharibi na jiji lenyewe, kiongozi wetu akaelekeza kwenye magofu ya majumba ya serikali, mahekalu, maduka, soko la nyama, na choo cha umma, zote zikiwa zimechangamana ovyo ovyo bila mpangilio wowote.a Hata hivyo, badala yake, kwa sababu ya ukosefu huo wa mpangilio mzuri wa mji, tulianza kuhisi hali maisha ya barabara yenye utendaji ambayo lazima Paulo alipata kuona— umati wenye shughuli na wapiga domo wasio na la kufanya, wenye maduka, watumwa, na wafanya biashara.
-
-
Korintho—Jiji la Bahari MbiliAmkeni!—1991 | Novemba 8
-
-
a Soko la nyama (Kigiriki, maḱel·lon): Duka lililouza nyama na samaki na pia vitu vingine vingi.—1 Wakorintho 10:25.
-