Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Pesa Ndio Chanzo cha Uovu Wote?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • Mtu akijaribu kuchukua kiasi kikubwa cha pesa.

      Je, Pesa Ndio Chanzo cha Uovu Wote?

      Jibu la Biblia

      Hapana. Biblia haisemi kwamba pesa ndio chanzo cha mambo yote mabaya. Watu wengi hutumia usemi “pesa ndio chanzo cha uovu wote,” lakini usemi huo si nukuu kamili la Biblia na unaopotosha. Biblia inasema “kupenda sana fedha ni chanzo cha uovu wote.”a—1 Timotheo 6:10, Biblia Habari Njema.

  • Je, Pesa Ndio Chanzo cha Uovu Wote?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • 1 Timotheo 6:10: “Kupenda pesa ndicho chanzo cha mambo mabaya ya kila aina, na kwa kujitahidi kufikia upendo huo, wengine wamepotoshwa kutoka kwenye imani na kujichoma kila mahali kwa maumivu mengi.”

      Maana: Pesa hazina tatizo. Lakini watu wanaopenda pesa, yaani, wale wanaofanya pesa kuwa jambo kuu maishani mwao, wanajisababishia matatizo, kama vile kuvunjika kwa familia na matatizo ya afya kwa sababu ya kufanya kazi kupita kiasi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki