Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jinsi ya Kuwa Mzazi Mwenye Mafanikio
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Mei 1
    • Mama ya Timotheo na labda nyaya yake, Loisi, walihakikisha kwamba si mawazo yao kibinafsi yaliyomvutia yeye tangu utoto mchanga; bali, wao walijua mafundisho ya Yehova ndiyo yangemhekimisha kwa ajili ya wokovu. Barua aliyoandikiwa Timotheo na mtume Mkristo Paulo inataarifu hivi: “Hata hivyo wewe endelea katika mambo ambayo wewe umejifunza na uliombwa sana uyaitikadi, ukijua ni kutoka kwa watu gani wewe ulijifunza hayo na kwamba tangu utoto mchanga wewe umejua maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukufanya wewe uwe mwenye hekima kwa ajili ya wokovu kupitia ile imani kwa ukamatano pamoja na Kristo Yesu.”​—2 Timotheo 3:14, 15, NW.

  • Jinsi ya Kuwa Mzazi Mwenye Mafanikio
    Mnara wa Mlinzi—1988 | Mei 1
    • Bila shaka, Timotheo alifikiria pia mama na nyanya yake walikuwa watu wa namna gani—watu wa kiroho kweli kweli. Wao hawangemlaghai wala kupotosha ukweli ili watimize makusudi ya ubinafsi; wala wao hawakuwa wanafiki. Basi, Timotheo hakuwa na shaka juu ya mambo aliyojifunza. Na hakuna shaka kwamba maisha yake ya utu mzima akiwa Mkristo mtendaji yalichangamsha moyo wa mama yake mwaminifu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki