-
Mambo Makuu Katika Barua kwa Tito, kwa Filemoni, na kwa WaebraniaMnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 15
-
-
15, 16—Kwa nini Paulo hakumwomba Filemoni amwachilie huru Onesimo? Paulo alitaka kushikamana kabisa na kazi aliyopewa ya ‘kuhubiri ufalme wa Mungu na kufundisha mambo yanayohusu Bwana Yesu Kristo.’ Kwa hiyo, aliamua kutojihusisha na masuala ya kijamii, kama vile masuala ya utumwa.—Mdo. 28:31.
-
-
Mambo Makuu Katika Barua kwa Tito, kwa Filemoni, na kwa WaebraniaMnara wa Mlinzi—2008 | Oktoba 15
-
-
15, 16. Hatupaswi kuruhusu matukio mabaya katika maisha yetu yatufanye tuhangaike kupita kiasi. Matukio hayo yanaweza kutunufaisha, kama vile yalivyomnufaisha Onesimo.
-