Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Oktoba 1
    • Mtume Paulo aliwaandikia hivi Wakristo Waebrania wa karne ya kwanza: “Kumebaki pumziko la sabato kwa watu wa Mungu. Kwa maana mtu ambaye ameingia ndani ya pumziko la Mungu amepumzika pia mwenyewe kutokana na kazi zake mwenyewe, kama vile Mungu alivyofanya kutokana na zake mwenyewe. Kwa hiyo acheni sisi tufanye yote kabisa tuwezayo ili kuingia ndani ya pumziko hilo.”—Waebrania 4:9-11.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi—2001 | Oktoba 1
    • Tukirejezea maneno ya Paulo kwa Waebrania, twaona alitaja kwamba “kumebaki pumziko la sabato kwa watu wa Mungu,” hivyo akawahimiza Wakristo wenzake wafanye yote wawezayo “ili kuingia ndani ya pumziko hilo.” Hilo laonyesha kwamba Paulo alipoandika maneno hayo, “siku ya saba” ya pumziko la Mungu, iliyokuwa imeanza miaka 4,000 hivi mapema, ilikuwa bado inaendelea. Siku hiyo haitaisha hadi kusudi la Mungu kwa wanadamu na dunia litimizwe kabisa mwishoni mwa Utawala wa Miaka Elfu wa Yesu Kristo, ambaye ni “Bwana wa sabato.”—Mathayo 12:8; Ufunuo 20:1-6; 21:1-4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki