Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Je, Kuungama Dhambi Ni Takwa la Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • Tukirejelea tena kitabu cha Yakobo, tunapata maneno haya yenye kutia moyo: “Je, kuna yeyote mgonjwa [kiroho] kati yenu? Na awaite kwake wanaume wazee wa kutaniko, nao wasali juu yake, wakimpaka mafuta katika jina la Yehova. Na sala ya imani itamponya huyo asiyejisikia vizuri, na Yehova atamwinua. Pia, ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.”—Yakobo 5:14, 15.

  • Je, Kuungama Dhambi Ni Takwa la Mungu?
    Mnara wa Mlinzi—2010 | Septemba 1
    • Kwanza, Yakobo anataja ‘kupaka mafuta.’ Hilo linarejelea nguvu za kuponya za Neno la Mungu. Mtume Paulo alisema kwamba “neno la Mungu liko hai nalo lina nguvu . . . nalo linaweza kutambua fikira na makusudio ya moyo,” kwa kuwa linapenya ndani kabisa katika akili na moyo wa mtu. (Waebrania 4:12) Kwa kutumia Biblia kwa ustadi, wanaume wazee wanaweza kumsaidia mtu aliye mgonjwa kiroho aone chanzo cha tatizo lake na kuchukua hatua zinazofaa kurekebisha mambo mbele za Mungu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki