Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Jinsi Familia Yako Inavyoweza Kuwa na Furaha​—Sehemu ya 2
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
    • 4. Wafundishe watoto wako kwa upendo

      Kumfundisha mtoto kunaweza kutokeza changamoto. Biblia inawezaje kukusaidia? Soma Yakobo 1:19, 20, kisha mzungumzie maswali haya:

      • Wazazi wanaweza kuonyeshaje upendo wanapozungumza na watoto wao?

      • Kwa nini mzazi hapaswi kamwe kuwatia watoto wake nidhamu akiwa amekasirika?a

      Baba akizungumza na mwanawe ambaye ameshika mpira. Chombo cha maua kilichovunjika kimeanguka sakafuni.
  • Jinsi Familia Yako Inavyoweza Kuwa na Furaha​—Sehemu ya 2
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
    • a Katika Biblia, “nidhamu” inatia ndani kufundisha, kuongoza, na kurekebisha. Lakini haihusishi kamwe kumtendea mtoto vibaya au kwa ukatili.​—Methali 4:1.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki