Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yerusalemu Jipya Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
      1. Yerusalemu Jipya liko mbinguni. Kila wakati ambapo Biblia inataja Yerusalemu Jipya, inaonyesha kwamba jiji hilo linashuka kutoka mbinguni, ambako malaika wanalinda malango ya jiji hilo. (Ufunuo 3:12; 21:2, 10, 12) Pia, ukubwa wa jiji hilo unaonyesha kwamba haliwezi kuwa duniani. Jiji hilo lina umbo la mraba wenye ukubwa wa “stadia 12,000” au kilomita 2,200 hivi.a (Ufunuo 21:16) Hilo linamaanisha kwamba kila upande ungekuwa umeinuka kwa kimo cha kilomita 560 hivi angani.

  • Yerusalemu Jipya Ni Nini?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
    • a Stadia kilikuwa kipimo kilichotumiwa na Waroma kinacholingana na mita 185.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki