Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 27
  • Simama Upande wa Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Simama Upande wa Yehova
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Simama Upande wa Yehova!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Jipange Upande wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Ninafurahia Kufanya Mapenzi Yako
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 27

Wimbo Na. 27

Simama Upande wa Yehova!

Makala Iliyochapishwa

(Kutoka 32:26)

1. Tulichanganyikiwa mwanzoni,

Kwa sababu ya dini bandia.

Tulipopata habari njema,

Tulifurahi sana.

(KORASI)

Simama upande;

Wake Yehova.

Yah hatakuacha;

Nenda nuruni.

Na habari njema

Pote tangaza.

Ufalme wa Kristo

Hautakoma.

2. Sasa kwa shangwe twatumikia,

Kweli ya Mungu twaieneza.

Ndugu zetu twawasaidia,

Twasifu Jina Lake.

(KORASI)

Simama upande;

Wake Yehova.

Yah hatakuacha;

Nenda nuruni.

Na habari njema

Pote tangaza.

Ufalme wa Kristo

Hautakoma.

3. Hatutamwogopa Ibilisi,

Tunamutegemea Yehova.

Hata wakionekana wengi,

Mungu atupa nguvu.

(KORASI)

Simama upande;

Wake Yehova.

Yah hatakuacha;

Nenda nuruni.

Na habari njema

Pote tangaza.

Ufalme wa Kristo

Hautakoma.

(Ona pia Zab. 94:14; Met. 3:5, 6; Ebr. 13:5.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki