Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 4
  • Kujifanyia Jina Zuri Mbele za Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kujifanyia Jina Zuri Mbele za Mungu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Jifanyie Jina Zuri Mbele za Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufanya Jina Zuri Pamoja na Mungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Jina la Mungu na Lako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1978
  • Kwa Nini Ni Lazima Tujue Jina la Mungu
    Jina la Mungu Litakaloendelea Milele
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 4

Wimbo Na. 4

Kujifanyia Jina Zuri Mbele za Mungu

Makala Iliyochapishwa

(Mhubiri 7:1)

1. Tunatamani kupendeza Mungu.

Tuwe na jina zuri mbele zake.

Tukifanya mambo yamupendezayo,

Twafurahisha moyo wake.

2. Umashuhuri na sifa za watu,

Ni ubatili, kujitafutia.

Tukiwa rafiki, za ’limwengu leo,

Kibali Chake, tutakosa.

3. Twataka jina, letu liandikwe,

Kitabuni cha uzima milele.

Basi sikuzote tumutii Mungu

Na kudumisha jina zuri.

(Ona pia Mwa. 11:4; Met. 22:1; Mal. 3:16; Ufu. 20:15.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki