Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 91
  • Kufundishwa na Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufundishwa na Yehova
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova
  • Kazi Yetu ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kufundishwa na Yehova Hadi Siku Hii
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 91

Wimbo 91

Kufundishwa na Yehova

(Isaya 54:13)

1. Yah hupeleka ukweli;

Ndiye mwalimu wetu.

Anaongoza kondoo

Akiwa na subira.

Ni wakati wa kujua

Ndiye Mukuu Sana,

Afundishaye kwa upendo

ambao ni wapole.

Na Mwanaye Yesu Kristo,

Alikuwa Mwalimu.

Alisema ya Babaye,

Kaeleza Ufalme.

Kama vifaranga-kuku,

Anasaidia wote.

Leo pia anafunza,

Kondoo zizini mwake.

2. Yah hutupa wachungaji.

Wanaotufundisha.

Ulimi umefundishwa

Ni wanyofu moyoni.

Wasaidia wanyonge.

Wanashauri pia.

Kufunza yaliyo ukweli;

Yehova hupendezwa.

Yah atufundisha sote;

Kiongozi ni Yesu.

Tuna pendeleo sana

Kweli moyo yagusa.

Mioyo ikiwakia

Wanaotaka ukweli,

Kwa kutangaza huenda

Wakaabudu Yehova.

3. “Jifunze juu ya Mungu,”

Tunakukaribisha.

Kufunza kwaendelea

Kunaleta wokovu.

Kwa vitabu na maneno

Habari za Ufalme

Zahubiriwa kote na kwa

kabila na taifa.

Sisi wanakazi-wenzi

Sharti tuendelee.

Tusonge nao ukweli,

Tukazie Ufalme.

Katika miaka elfu

Wafufuliwa ‘tapata

Elimu na kufikia

Uzima mukamilifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki