Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 129
  • Sasa Ndio Wakati!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sasa Ndio Wakati!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Utashikilia Kabisa Utimilifu Wako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Kwa Nini Uendelee Kuwa Mtimilifu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Dumisha Utimilifu Wako!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
  • Tembea Katika Njia ya Utimilifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 129

Wimbo 129

Sasa Ndio Wakati!

(Marko 13:10)

1. Sasa ndio wakati,

Neno tulihubiri.

Hasha, tusitishike;

Ufalme tuupendekeze.

Tuwaonye wasikawie.

Babuloni wamukimbie

Humo wasishiriki kifo.

Na katika nyumba ya Mungu.

Sasa tuonyeshe bidii.

2. Sasa hii ni saa

Ndugu kusaidia,

Wa kale hata wapya,

Tuwe wengi, wachache pia.

Bila choyo kutumikia.

Tupende kweli kila siku,

Mungu atatufurahia

Ukamilifu tudumishe.

Ndiyo saa ya kudumisha.

3. Karibu iingie

Vita, nao ushindi.

Giza, litokomee.

Hadi hapo sote tung’ae.

Wafu kisha tuwapokee,

Mukate, Yesu, tuwalishe.

Maovu yote yatakwisha.

Mungu ameyasema hayo.

Sasa hayo tuyahubiri.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki