Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 139
  • Zisikilizeni Habari za Ufalme

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Zisikilizeni Habari za Ufalme
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Taifa Takatifu la Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Jipange Upande wa Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kimbilia Ufalme wa Mungu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 139

Wimbo 139

Zisikilizeni Habari za Ufalme

(Isaya 55:7)

1. Habari za Ufalme sikilizeni

Yesu asema: ‘Ninatawala.

Karibuni adui ataondoshwa;

Sasa mufumo wake ukimbieni.’

(Korasi)

2. Kwa mashahidi Yehova anaita:

“Enyi wapole, Shangilieni.

Yesu kuonyesha nguvu karibuni.

Zitoweke shida, uchungu, huzuni.”

(Korasi)

3. Wasikilizao ni wenye furaha

Wenye kusema: ‘Nitamutii’

Mungu huwahifadhi waaminifu

Ufalme wake wanatafuta kwanza.

(KORASI)

Waovu waache njia mbaya,

Na wenye madhara mawazo yao.

Warudi kwa Mungu wa rehema,

Ambaye husamehe sana.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki