Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 70
  • Uwe Kama Yeremia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe Kama Yeremia
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • “Nimeyatia Maneno Yangu Katika Kinywa Chako”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Uwe Jasiri Kama Yeremia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Yehova, Nguvu Yetu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Yehova, Nguvu Yetu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 70

Wimbo 70

Uwe Kama Yeremia

(Yeremia 1:7, 18)

1. Kutumikia Mungu

Kwatokeza furaha.

Mungu anatulinda,

Tumutumikiapo.

Biblia hutuonya

—Nayo husema kweli—

Tutazipata furaha

Hata taabu nazo.

2. Kumbuka Yeremia,

Alikuwa kijana

Alipoanza kazi;

Alifanywa shujaa.

‘Hata wapige vita

Kwa nguvu zao zote,

Hawatakushinda wewe,

Utakuwa munara.’

3. Miaka ikapita

Akiwa mwaminifu.

Na alifanikiwa,

Ajapotaabishwa.

Tumwige Yeremia;

Tutumaini Mungu.

Tuhubiri enzi kuu

Ya Mungu bila woga.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki