Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 214
  • Kufuata Njia ya Mungu ya Uzima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kufuata Njia ya Mungu ya Uzima
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • ‘Pata Furaha Tele Katika Yehova’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Uongozi Timamu kwa Vijana wa Leo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Umoja wa Ibada Katika Nyakati Zetu Unamaanisha Nini?
    Mwabudu Mungu wa Pekee wa Kweli
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 214

Wimbo 214

Kufuata Njia ya Mungu ya Uzima

(Mithali 9:10, 11)

1. Uzima mali bora, kupitia

Yesu Kristo! Tutumie vema.

Kwako Yehova tunakiri hivi:

Njia yako inatupendeza.

2. Yehova ni wewe tunaogopa.

Twapata hekima na ujuzi.

Sheria yako yatufurahisha;

Tunatembea katika hiyo.

3. Uzima una kusudi, u mwema.

Twajifunza kuishi kwa Yesu.

Sisi tusiupende ulimwengu.

Furahi zaidi kwa kutoa.

4. Tuishi katika mafunzo yako,

Sababu Ufalme ni karibu.

Tuwahubirie wapole wote,

Kristo arudishapo ibada.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki