Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 44
  • Yehova Anajali Kweli Kweli

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Anajali Kweli Kweli
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Amehesabu “Nywele Zenyewe za Kichwa Chenu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • Shomoro Aliyejeruhiwa Apata Makao Mapya
    Amkeni!—2005
  • Je, Kweli Kuna Yeyote Anayejali?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Fumbo la Korobindo wa Uingereza
    Amkeni!—2001
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 44

Wimbo 44

Yehova Anajali Kweli Kweli

(1 Petro 5:7)

1. Yehova anatujali

Sisi tunafarijika.

‘Ajua nywele za kichwa chetu.’

Kwa nini tusumbuke?

2. Na tujapojaribiwa,

Tusikatishwe tamaa.

Kama anajali ndege sisi,

Pia atatujali.

3. Na mateso mbalimbali

Yanawapata Wakristo.

Tunasafishwa na kuzoezwa;

Atatusaidia.

4. Kweli Mungu anajali,

Na yeye atatutunza.

Tukizidi kumwabudu yeye,

Atatuthawabisha.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki