Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 48
  • Mpe Yehova Sifa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mpe Yehova Sifa
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Inatupasa Kuwa Watu wa Aina Gani?
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kuishi Kulingana na Jina Letu
    Mwimbieni Yehova
  • Kazi Yetu ya Upendo
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 48

Wimbo 48

Mpe Yehova Sifa

(1 Wakorintho 3:7)

1. Pa sifa Yehova.

Kwa pendo lake

Ni agizo lake

kweli ing’ae.

Na kila unacho

Ulipokea

Kwa Mungu mupaji;

Heshimu yeye.

2. Mweke mbele yako;

Ukajifiche.

Kwa hiyo ung’ae

nuru tukufu.

Utembee naye,

Umutafute,

Na kutanguliza

Kazi ya Yeye.

3. Nenda nayo shangwe

Kwa kazi yake;

Mushukuru yeye

kwa pendeleo.

Pa sifa Yehova,

Tangaza ’Falme,

Mpaka jina lake

Wote wasifu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki