Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 59
  • Kuthamini Vikumbusho vya Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuthamini Vikumbusho vya Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Wavipenda Mno Vikumbusha vya Yehova?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2000
  • Makumbusha na Maagizo ya Mungu wa Mfumo Mpya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Je, Vikumbusha vya Yehova Vyatuamsha Kiroho?
    Huduma Yetu ya Ufalme—1995
  • Vikumbusho Vya Yehova Ni Vyenye Kutegemeka
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 59

Wimbo 59

Kuthamini Vikumbusho vya Mungu

(Zaburi 119)

1. Wa furaha wenye vikumbusho,

Mungu wamutafutao,

Kutimiza sheria upesi,

Wasiziache sheria.

Amuri zake wathamini,

Fadhili wanasimulia.

Sheria zake wazipendao,

Wamefunzwa kumungoja.

2. Fadhilize hazina kifani;

Zapenya sana angani!

Maamuzi yake yatulinda,

Ijapo tusingiziwe.

Wapenda sheria; amani.

Watabakia barakani.

Afurahivyo muteka nyara,

Furaha yetu ’tazidi.

3. Maombi tuweke kwa Yehova

Tufahamu Neno lake.

Asikie sala zetu ili

Tuokolewe na yeye.

Moyo wetu uaminike,

Tutende atuambiayo.

Mushikamanifu ni Yehova.

Hurudisha nguvu zetu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki