Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 50
  • Kuitikia Upendo wa Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuitikia Upendo wa Mungu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Mjengwe na Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
  • “Endeleeni Kutembea Katika Upendo”
    Mkaribie Yehova
  • Mpende Mungu Anayekupenda
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • “Lazima Umpende Yehova Mungu Wako”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 50

Wimbo 50

Kuitikia Upendo wa Mungu

(1 Yohana 4:11)

1. Mungu, wapita wote; Twakupenda kwa moyo,

Yehova wastahili sifa.

Twasifu jina lako na

Neno lako ambalo latufunza njia zako.

Waonyesha hisia, U haki kwa matendo;

Waonyesha hekima, nguvu.

Kwa Andiko tunayo hakika utatubariki,

Tukisafisha—moyo.

2. Ulitupenda kwanza; Upendo wako kwa

Kristo watuvuta tukupende.

Yesu akutakase, kaja afunue pendo,

ili tupate uzima.

Wote aliwazidi Kwa kutoa zawadi,

Ya uhai kwa watu wengi.

Na tusiangamie, Uchungaji wake

tunathamini, Pia shauri.

3. Ulimwengu kufanya Kazi hautazuia ya

kutangaza Ufalme.

Kwa huduma ya nia watu wote

twawatimizia pendo, haki yao.

Kutumika pamoja Kupendana wenyewe

Hufunua tu wa Mwanako.

Faida za Ufalme twazitumia vema;

Twataka atusifu “Vema.”

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki