Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 181
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Shiriki Kuimba Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova
  • Shiriki Kuimba Wimbo wa Ufalme!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Imba Wimbo wa Uchangamshi wa Ufalme
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo kwa Yehova
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 181

Wimbo 181

Shiriki Wimbo wa Ufalme!

(Zaburi 98:1)

1. Kuna wimbo, wa ushindi, wa shangwe;

Watukuza Mungu, ukiwapa

Tumaini na wahimiza wote,

Imba nasi; kichwa cha Ufalme:

‘Atawala; E dunia,

Enyi mbingu, Furahini.’

Wimbo mupya; Wa kutawazwa Kristo

Wote waje waheshimu ’Falme.

2. Tunaimba, habari za Ufalme.

Naye Yesu; atawala juu.

Ilisemwa kuna taifa jipya,

Kristo ndiye Analitawala.

‘Abuduni Mungu nyote

Baba yake Tujulishe!

Jifunzeni, Wimbo mupya wa ’Falme;

Abuduni Mungu abariki.’

3. Wimbo huu ni rahisi kujua.

Na ni wazi; unachangamusha.

Duniani umati umejua,

Kisha wao waita wengine:

‘Omba Mungu. Musifuni,

Wafu yeye Tafufua.’

Basi wewe sifu Yehova nasi.

Wimbo wetu wapendeza yeye.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki