Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 198
  • Kupata Kumjua Mungu Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kupata Kumjua Mungu Wetu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Jifanyie Jina Zuri Mbele za Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Kujifanyia Jina Zuri Mbele za Mungu
    Mwimbieni Yehova
  • Mungu Mkuu, Yehova
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Wenye Furaha, Warehemifu!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 198

Wimbo 198

Kupata Kumjua Mungu Wetu

(Yohana 17:3)

1. Twajua sana. Jinsi Mungu

Anahisi.

Kwa kutuweka Tuwe huru

Atujali.

2. Mwenye rehema Apendeka,

Tunajua.

Twamutumai; Tu mavumbi,

Hufadhili.

3. Tufunzwe mengi, Ya Yehova,

Twafahamu.

Na twajikaza Kutembea

Kama Yesu.

4. Upendo wake Mwingi muno,

Tufuate.

Tusifu jina La Yehova,

Ni wa kweli.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki