Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 182
  • “Zeri Katika Gileadi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Zeri Katika Gileadi”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Zeri ya Gileadi—Mafuta Yanayoponya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Wafariji Wale Wanaohuzunika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Mtegemee Yehova, “Mungu wa Faraja Yote”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
  • ‘Wafariji Wote Wanaoomboleza’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 182

Wimbo 182

“Zeri Katika Gileadi”

(Yeremia 8:22)

1. Kuna zeri Gileadi;

Biblia husema.

Huifariji mioyo

Hutoa huzuni.

Hutufariji tukiwa

Tunajaribiwa,

Au mupenzi kulala

’Singizi wa kifo.

2. Kumbuka ‘Mungu ni pendo,’

Hekima na kweli.

Chochote anachotoa

Kinakufaidi.

Mwombe Mungu wa faraja

Pasipo kukoma,

Ya moyoni; sema yote

Ya kukusumbua.

3. Ukumbuke ya zamani,

Yaliyotendeka,

Yaliandikwa kusudi

Tupate faraja.

Kubali musaada wa

Waliokomaa,

Na watakusaidia

Ukavumilie.

4. Umefikiri wengine,

Wanahuzunika?

Na ukamilifu wao

Unajaribiwa?

Watafute, wafariji,

Changamusha moyo.

Hivyo utajua nguvu

Za dawa ya zeri.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki