Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w89 4/15 uku. 32
  • Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ufunuo—Upeo Wao Mtukufu U Karibu!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
w89 4/15 uku. 32

Ufunuo​—⁠Upeo Wao Mtukufu U Karibu!

Hicho ndicho kichwa cha kitabu kipya kinachozungumza kwa urefu juu ya kitabu kizima cha Biblia cha Ufunuo. Msomaji mwenye idili kutoka Kalifornia anaandika hivi:

“Mimi nakipenda! Nafurahia hasa jinsi kimeundwa.

Kuwa kwa maandiko katika chapa nene nyeusi, na ule uelezaji wa wazi, wenye kueleweka vizuri kabisa, uliotolewa kuhusu kila andiko. Hiyo inafanya iwe rahisi kukisoma. Pia mimi nathamini kwamba sura zenyewe ni fupi. Chati na vielezi vinasaidia zaidi.

“Ebu fikiri, mimi niliye mke-mkaa-nyumbani naweza kuketi na kuyasoma kwa uelewevu mambo ya Mungu yaliyo na kina kirefu. Kwa sababu nyinyi mliutafuta wakati na ujalifu wa kurahisisha habari zenyewe, sisi sote tunaweza kumkaribia zaidi Mungu wetu.”

Wewe utasisimuliwa na utambulishi wa wazi na wenye maelezo ya kiakili kuhusu wale hayawani, yule drakoni, yule kahaba mkubwa, na vitu vile vingine vya ufananishi vilivyo katika Ufunuo. Utaiona maana kwa siku yetu. Kitabu hiki cha kusisimua chenye jalada gumu, chenye kurasa zinazolingana ukubwa na gazeti hili, kinatokeza zungumzio la Ufunuo mstari kwa mstari. Peleka ombi leo ili ukipate. Ni Kshs. 50/=

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki