Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 134
  • “Endeleeni Kama Wanaume”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Endeleeni Kama Wanaume”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kupata Ushindi Juu ya Ulimwengu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo wa Ushindi
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Kuimba Wimbo wa Ufalme!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 134

Wimbo 134

“Endeleeni Kama Wanaume”

(1 Wakorintho 16:13)

1. ‘Mwone Mutu!’ Pilato kasema

Kweli Yesu Kristo ndiye mufano!

Alishinda ulimwengu wenye

Uovu, ulio na chuki kali.

2. Yesu mwema mufano kaweka.

Sisi tuwe kama alivyokuwa.

Tukabilipo Har–Magedoni,

Na tuwe hodari; twende kiume.

3. Na kiume ni takwa hakika

Lao watu wa Yehova, vijana,

Wazee, mwisho karibu sana,

Kazi ya Ufalme tusiogope.

4. Watumishi, waume kwa wake,

Tazameni Yesu Kristo, Mufalme.

Bila woga, muwe nazo nguvu.

Ushindi ’jasiri watauimba.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki