Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 5/1 uku. 32
  • Ni Kama Raha ya Kuchukuliwa kwa Gari

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ni Kama Raha ya Kuchukuliwa kwa Gari
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 5/1 uku. 32

Ni Kama Raha ya Kuchukuliwa kwa Gari

Hivyo ndivyo msomaji mmoja mwanamke alivyoueleza usomaji wake wa makini wa kile kichapo kipya chenye kusisimua sana, chenye picha za kupendeza Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? “Kwa kufungua ukurasa mmoja baada ya mwingine wa kitabu,” mwanamke huyo aliandika, “sasa tu ndiyo nimemaliza ‘safari’ yangu fupi kupitia hicho. Lo! ulikuwa uchukuzi wenye raha kama katika gari! . . .

“Mume wangu nami tunakubali kwamba hiki si kitabu cha kawaida tu—ni ensaiklopidia! Tayari watoto wanabishania zamu ya kukiangalia—ni lazima tuwe na nakala nyingi zaidi!

“Hakika, yale mawazo mazuri sana, yaliyotolewa kwa mpangilio mzuri sana na kwa njia ya wazi ili kutetea uumbaji, yanajitokeza-tokeza kweli kweli katika kurasa. Kitabu hicho kina mamlaka yenye kusukuma mtu, nguvu zenye kuchemka, zinazodumu mpaka ule ukurasa wa mwisho.”

Wewe unaweza kukipokea kitabu hiki kikubwa, chenye kurasa 256 kwa kujaza na kutupelekea hati yenye anwani iliyo hapa chini pamoja na mchango wa Kshs. 35.00 tu (Tshs. 100.00).

Tafadhali mnipelekee, mkiwa mmelipia malipo ya posta, kile kitabu kinachoitwa Life—How Did It Get Here? By Evolution or by Creation? Mimi’ nimewapelekea Kshs. 35.00 (Tshs. 100.00).

[Picha Credit Lines katika ukurasa wa 32]

Butterfly, Squirrel, Frog: U.S. Fish & Wildlife Service;

Bird: National Zoological Park, Washington, DC

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki