Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 5
  • Uumbaji Wote, Sifuni Yehova!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uumbaji Wote, Sifuni Yehova!
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Msifuni Yehova Mungu Wetu
    Mwimbieni Yehova
  • Msifuni Yehova Mungu Wetu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Ingia Katika Nyua za Hekalu la Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Waliotengwa Wawe Wasifaji Wenye Shangwe Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1997
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 5

Wimbo 5

Uumbaji Wote, Sifuni Yehova!

(Zaburi 148)

1. Wote sifuni Yehova;

Bariki jina lake.

Kucha kutwa malaika

Wanamushangilia.

2. Jua, mwezi, hata mbingu,

Vinamusifu Mungu.

Vyatii sheria zake;

Hazitapita kamwe.

3. Sifa inapanda juu.

“Kondoo” wachagua.

Watumikie Muumba,

Wafurahi nyuani.

4. Umati wa mataifa

Waja hekalu kwake.

Afaa kuabudiwa.

Yeye Mungu pekee.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki