Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 171
  • Wimbo wa Ushindi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wimbo wa Ushindi
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kupata Ushindi Juu ya Ulimwengu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Wimbo wa Ufalme!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Endeleeni Kama Wanaume”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Shiriki Kuimba Wimbo wa Ufalme!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 171

Wimbo 171

Wimbo wa Ushindi

(Kutoka 15:1)

1. ‘Mwimbieni Yah, Kwa sababu amekwezwa sana.

Farasi na mutu Watupwa baharini.

Nguvu zangu ndiye Yah, ’mekuwa wokovu wangu.

Mungu wangu; Nitamutukuza.

‘Jeshi ya Farao yafa majini Yametupwa baharini. Na

Mukono kuume, Yehova, Ni wenye nguvu sana.’

2. Waisraeli, Yehova akawapa ushindi.

Na Ushindi mwingi Twaona leo hii.

Yesu sasa Mufalme, Mufumo wa kale kwisha.

Twafurahi, Waja ukombozi!

Joka, Shetani, na malaika ‘ovu—Wametupwa mpaka chini.

Na Mwana-Kondoo ashinda Sasa giza laisha.

3. Musifuni Yah. Utukufu wa Yehova Mungu.

Ufalme tayari, Utakomesha mambo.

Na tumusifu Mungu. Na tumushukuru Yesu.

Tufurahi Tunaishi leo.

Mungu Yehova na Masihi wake Twawatolea shukurani.

Ni hao tu wenye wokovu. Tutaimba ushindi!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki