Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w86 4/15 uku. 32
  • Maktaba Iliyojaa Habari

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maktaba Iliyojaa Habari
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
w86 4/15 uku. 32

Maktaba Iliyojaa Habari

Hivyo ndivyo wasomaji wa Mnara wa Mlinzi na Amkeni! wanavyoyachukua magazeti hayo.

Akiandika kwa niaba yake mwenyewe na jamaa yake, mwanamume mmoja wa Filipino aliishukuru Sosaiti yetu kwa kumpa matoleo ya kule nyuma, akisema:

“Kama inavyokuwa katika kila chapa ya magazeti yenu, matoleo hayo yamejaa habari za maana. Si kwamba yanaangaza nuru juu ya mambo ya dini, bali pia yanazungumza kirefu juu ya mambo kama sayansi, tiba, historia, serikali, lugha, n.k. Inaelekea kwamba kila toleo inakuwa na makala za kutupendeza sisi kwa njia ya pekee.

“Ingefaa pia nitaje kwamba tuliunganisha matoleo yetu ya wakati uliopita ya Mnara wa Mlinzi na Amkeni! yakawa vitabu. Sasa tuna mabuku manne ya namna hiyo katika maktaba yetu wenyewe. Yanafaa sana kwa uchunguzi, nasi tunayarejea-rejea tupate mauidha na kichocheo chenye msaada.”

Unaweza kupata Mnara wa Mlinzi na Amkeni! katika sanduku la posta. Tupelekee Kshs. 83.00 (Tshs. 240.00 au RWF 600) nawe utapokea magazeti yote mawili (nakala tatu kwa mwezi) kwa muda wa mwaka mmoja.

Tafadhali mnipelekee uandikisho wa mwaka mmoja wa magazeti Mnara wa Mlinzi na Amkeni! Mimi nimewapelekea Kshs. 83.00 (Tshs. 240.00 au RWF 600) kwa matoleo 48.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki