Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 47
  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova, Nguvu Yetu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Yehova, Nguvu Yetu
    Mwimbieni Yehova
  • Ndipo Watajua
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tafadhali Sikiliza Sala Yangu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 47

Wimbo 47

Yehova, Nguvu Zetu na Uweza Wetu

(Isaya 12:2)

1. Yah mwenye neema, nguvu yetu,

Twakupenda, u Mwokozi wetu.

Twashuhudia habari zako,

Wapende wasipende tu wako.

(Korasi)

2. Twataka amani kwa Mwanako;

Macho yaziona kweli nyingi.

Tunayatafuta Maandiko;

Twachagua kuwa na Yehova.

(Korasi)

3. Twafanya mapenzi yako, Mungu.

Ingawa Shetani atupige.

Ajapotuchinja, saidia

Ukamilifu tushikilie.

(KORASI)

Yehova Mwamba, Uweza wetu,

Twalitangaza jina lako.

Yehova, Mutukufu na nguvu,

U ficho letu, Munara wetu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki